Pesa ni sabuni ya roho lakini isipopatikana kiharali sio sabuni ya roho bali ni aibu kubwa kwa jamii yote ya wanaokuzunguka.Hivi kwani madiwani walikuwa na nguvu kubwa mpaka kuamua mahamuzi magumu kupita bila kushirikisha uongozi wa Taifa nashangaa sana kwa maendeleo ya wananchi kweli diwani hana maamuzi makubwa kama hayo ?kweli Tanzania bila rushwa hatuwezi kuendelea ndio maana wakati uliopita madiwani wa Jiji la Dar es salaam walifukuzwa au walivunja baraza la madiwani kumbe ni uozo huo unaendelea tena naomba waziri mkuu kuvunja baraza lolote la madiwani watakao kuwa kikwazo cha maendeleo ya mikoa yo
te ya Tanzania kama kukiwa na matatizo kwa madiwani nafikiri sheria hipo.
Mpinga rushwa adui wa haki
No comments:
Post a Comment